Ndoa ya Shetta imevunjika…. mke wake kakataa pia hii zawadi aliyopewa.
Nakukutanisha na msanii wa bongofleva Shetta ambaye alikuja kwenye studio za Millard Ayo na kukubali kuweka wazi kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake ambayo haina hata miaka mitano.
Unataka kuona alichosema kuanzia mwanzo mpaka mwisho? unataka kuona picha ya zawadi aliyomnunulia mke wake na bado akaikataa? tembelea kwenye link hapa chini..
https://youtu.be/WcURBxAmw8A
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni