![]() |
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Justus Kamugisha akiwa upande wa basi walikolaliwa abiria watatu kabla ya basi kuinuliwa kwa winchi |
![]() |
Wataalam awa afya wakiangalia miili iliyonasa kwenye basi |
![]() |
Basi likiwa limepinduka |
![]() |
Tela la lori la kampuni ya Coca cola lililokuwa linaelekea Shinyanga
|
![]() |
Miili ya marehemu ikiwa imenasa kwenye basi |
![]() |
Miili ya marehemu ikiwekwa kwenye lori baada ya kutolewa kwenye basi |
![]() |
Basi la Unique Express baada ya kuinuliwa na kuondoa miili ya watu watatu waliokuwa wamenasa kwenye basi |
![]() |
Maafisa wa polisi na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Shinyanga wakiwa eneo la tukio |
![]() |
Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Shinyanga wakiwa eneo la tukio,Kulia ni mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni