Mambo yameanza Dodoma, ratiba ya Bunge ni hii + pichaz Wabunge waliofika..
Kama umetembelea mitandao ya kijamii utakuwa umeona pilikapilika za kinachoendelea Dodoma sasahivi, baada ya Uchaguzi Mkuu kuisha wale wote waliopita kwenye nafasi ya Ubunge wanasubiri shughuli ya kuapishwa halafu Vikao vya Bunge vinaanza.
Mbunge Mteule wa Jimbo Mwanga K’njaro, Prof. Jumanne Maghembe akiwasilisha nyaraka zake wakati wa kusajiliwa Bungeni Dodoma.
Mbunge Mteule wa Sengerema, William Ngeleja nae kwenye foleni ya usajili katika Viwanja vya Bunge Dodoma.
Mbunge Mteule wa Sengerema, William Ngeleja nae kwenye foleni ya usajili katika Viwanja vya Bunge Dodoma.
Joseph Haule a.k.a Professor Jay alipost hii picha kwenye ukurasa wake wa Instagram jana, halafu akaandika >>> ‘Hi everybody, MJENGONI DAY ONE!!!‘
Nimeipata Ratiba ya kitakachoendelea Dodoma kwa jumla ya siku saba mfululizo kupitia blog ya millardayo.com