Jumamosi, 14 Novemba 2015

Mambo yameanza Dodoma, ratiba ya Bunge ni hii + pichaz Wabunge waliofika..

By
Atkin Mulenga 
on
Kama umetembelea mitandao ya kijamii utakuwa umeona pilikapilika za kinachoendelea Dodoma sasahivi, baada ya Uchaguzi Mkuu kuisha wale wote waliopita kwenye nafasi ya Ubunge wanasubiri shughuli ya kuapishwa halafu Vikao vya Bunge vinaanza.
Mbunge Mteule wa Jimbo Mwanga K’njaro, Prof. Jumanne Maghembe akiwasilisha nyaraka zake wakati wa kusajiliwa Bungeni Dodoma.
MAGHEMBE        
Mbunge Mteule wa Sengerema, William Ngeleja nae kwenye foleni ya usajili katika Viwanja vya Bunge Dodoma.
NGELEJA
Mbunge Mteule wa Sengerema, William Ngeleja nae kwenye foleni ya usajili katika Viwanja vya Bunge Dodoma.
Prof JAY
Joseph Haule a.k.a Professor Jay alipost hii picha kwenye ukurasa wake wa Instagram jana, halafu akaandika >>> ‘Hi everybody, MJENGONI DAY ONE!!!
WABUNGE
Wabunge wengine pia wakiendelea na utaratibu wa kusajiliwa Dodoma.
Nimeipata Ratiba ya kitakachoendelea Dodoma kwa jumla ya siku saba mfululizo kupitia blog ya   millardayo.com  
 , yani kuanzia jana November 13  mpaka November 20 2015… Ratiba yenyewe hii hapa.
Bunge
Bunge II Bunge III

Prof JAY
Joseph Haule a.k.a Professor Jay alipost hii picha kwenye ukurasa wake wa Instagram jana, halafu akaandika >>> ‘Hi everybody, MJENGONI DAY ONE!!!
WABUNGE
Wabunge wengine pia wakiendelea na utaratibu wa kusajiliwa Dodoma.

New Music: Justin bieber Feat. Ariana Grande – What do you mean? [ Rmx ]

Remix ya Justin bieber aliyomshirikisha mwanadada  ArianaGrande – What do you mean? [ Rmx ] hii apa